Mimi ni kijana Mwenye malengo na mchapakazi,Podcast yangu itahusu Mawazo ,Matukio,Ubunifu na Msukumo!
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na...
Succen fran Youtube finns nu pa Itunes. Rakt pa Med Rakaka Podcast! Subscribe Now!
Swahili Translation of Friday Sermon delivered by Khalifatul Masih
Mada hii inazungumzia uongozi katika uislam,na umuhimu wa uongozi,na matatizo ya misikitini na tasisi za kislam,na dalili ambazo zimekuja kuzungumzia uongozi,mifano hai ya uongozi...
Mada hii inazungumzia yanayo letwa na mwzi wa ramadhani,na ushindi ulio patikana katika mwezi wa ramadhani,na yanayo paswa kufanywa katika mwezi wa ramadhani,na sharti ya ushindi.
Mada hii inazungumzia haki za mume na haki za mke katika maisha yandoa kwamtizamo wa sheria ya kiislam.
Mada hii inazungumzia fadhila za swaumu,na dalili zilizo kuja kueleza ubora wa swaumu,na nguvu za swaumu katika kuziwiya madhambi.
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya...
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na...