Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Matt Gitau "wakati wakuongoza kulingana na katiba na matumaini yawa Kenya umefika"
14/03/2025 Duración: 12minWakenya wana endelea kukabiliana na uongozi mpya wa mseto kati ya serikali ya Kenya Kwanza na chama kikuu cha upinzani cha Orange Democratic Movement (ODM).
-
Taarifa ya Habari 14 Machi 2025
14/03/2025 Duración: 18minWauguzi na wakunga wanaomba mageuzi ya udhibiti yatakayo waruhusu kuagiza vipimo vya uchunguzi, kutoa rufaa kwa watalaam na kuagiza dawa fulani. Ni hatua mashirika ya kilele yamesema itapunguza muda wakusubiri nakupiga jeki matokeo ya huduma ya afya.
-
Want to help shape Australia’s future? Here’s how to enrol to vote - Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unaweza jiandikisha kupiga kura
14/03/2025 Duración: 06minWith another federal election due this year, there are steps you will need to take before casting your vote for the first time. Plenty of resources are available to help you enrol to vote and have your say in shaping our nation. - Uchaguzi mwingine wa shirikisho ukitarajiwa mwaka huu, kuna hatua utahitaji chukua kabla yakupiga kura yako kwa mara ya kwanza. Kuna rasilimali nyingi zaku kusaidia kujisajili kupiga kura na kutoa maoni yako katika mustakabali wa nchi yetu.
-
Taarifa ya Habari 13 Machi 2025
13/03/2025 Duración: 05minRipoti mpya ya Chuo cha Monash imeonesha matukio ya unyanyasaji dhidi yawa Islamu wa Australia, yali ongezeka zaidi ya mara mbili kati ya Januari 2023 na Novemba 2024.
-
Matt Gitau "Jumamosi itakuwa fursa nzuri yakutafuta majibu ya changamoto zinazo tukumba"
13/03/2025 Duración: 11minJumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, New South Wales imekabiliana na taarifa baada ya nyingine yaku sikitisha katika siku za hivi karibuni.
-
Taarifa ya habari 11 Machi 2025
11/03/2025 Duración: 17minMamlaka jimboni New South Wales wamesema jibu baada ya kimbunga Alfred lime hamia rasmi katika mwelekeo wa uokoaji. Hakuna onyo za dharura ambazo zimetolewa kwa kuhama.
-
Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura?
11/03/2025 Duración: 10minAkili ya bandia ni teknolojia mpya ambayo watu wanajaribu kuelewa. Watafiti waki jumuishwa.
-
Taarifa ya Habari 10 Machi 2025
10/03/2025 Duración: 07minTaarifa za marufiko ya gafla zimetolewa kwa maeneo ya pwani ya New South Wales na Queensland, baada ya tukio la kimbunga cha kitropiki Alfred.
-
Taarifa ya Habari 7 Machi 2025
07/03/2025 Duración: 20minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema ame idhinisha ombi la wanajeshi 120, watakao enda mara moja New South Wales kusaidia katika juhudi zaku kabiliana na Kimbunga Alfred.
-
Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unastahili fanya kujisajili kupiga kura
07/03/2025 Duración: 08minUchaguzi mwingine wa shirikisho unatarajiwa kufanywa mwaka huu, kuna hatua unastahili chukua kabla yakupiga kura yako kwa mara ya kwanza.
-
Taarifa ya Habari 6 Machi 2025
06/03/2025 Duración: 06minOfisi ya utabiri wa hali ya hewa, ime toa taarifa mpya kuhusu wakati kimbunga chaki tropiki Alfred, kina tarajiwa kufika katika nchi kavu.
-
Ramadan na Eid ni nini, na huadhimishwaje huku Australia?
05/03/2025 Duración: 11minAustralia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.
-
Jinsi ya kuzungumza kuhusu asili yako
05/03/2025 Duración: 06minJe! wewe ni mgeni nchini? ungependa fanya mazoezi ya kujieleza kwa Kiingereza?
-
The AI Election: Will artificial intelligence influence how Australia votes? - Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura?
05/03/2025 Duración: 07minExperts say AI could have significant impacts on democracy and trust. - Watalaam wanasema AI inaweza kuwa na madhara makubwa kwa demokrasia na uaminifu.
-
Taarifa ya Habari 4 Machi 2025
04/03/2025 Duración: 19minWaziri wa Fedha Katy Gallagher amesema wa Australia wanastahili tarajia bajeti ya shirikisho inayotegemewa, na ambayo itasaidia familia kwa shinikizo za gharama ya maisha.
-
Jinsi AI ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani
04/03/2025 Duración: 10minTuna jiandaa kwa uchaguzi wa shirikisho. Hivi karibuni, wa Australia wata elekea katika vituo vya kupiga kura kuwachagua viongozi wetu wapya.
-
Taarifa ya Habari 3 Machi 2025
03/03/2025 Duración: 06minData ina onesha kuwa soko la nyumba nchini Australia lime ibuka kutoka miezi mitatu ya kudorora, baada ya kupunguzwa kwa kiwango cha riba cha kwanza katika zaidi ya miaka minne hali iliyo inua hisia za wanunuaji.
-
The AI Election: How artificial intelligence impacted the world's biggest ballots - Uchaguzi wa AI: Jinsi akili bandia ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani
28/02/2025 Duración: 10minFrom "Communist Kamala" to Bollywood endorsements, artificial intelligence and disinformation played a big role in some of the biggest democratic elections last year. - Kutoka "Kamala mkomunisti" hadi kwa uidhinishwaji wa Bollywood, akili bandia na taarifa potofu zilikuwa na nafasi kubwa katika chaguzi kubwa zaki demokrasia mwaka jana.
-
Taarifa ya Habari 28 Februari 2025
28/02/2025 Duración: 16minWanasiasa wakuu wa Australia wamesema hatma ya mkataba wenye thamana yama bilioni ya dola na Marekani ume hakikishwa, baada ya Rais Donald Trump kuonekana nikama amesahau jina la mkataba huo wa nchi tatu zinazo jumuisha Uingereza.
-
Wangeci "katika hii nchi wanathamini sana watu wenye ujuzi wa kazi za mikono"
28/02/2025 Duración: 07minWangeci Kones alikuja Australia akiwa na matumaini yakutumia shahada yake ya masoko, katika kazi sawia na alivyo kuwa akifanya nchini Kenya.