Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 107:39:45
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Taarifa ya Habari 30 Aprili 2023

    30/04/2023 Duración: 18min

    Kutakuwa maboresho mhimu katika bajeti ya Mei, waziri wa fedha aeleza taifa.

  • Maelfu watoa heshima zao kwa walio hudumu katika jeshi

    26/04/2023 Duración: 09min

    Maelfu ya watu wame jumuika kote nchini Australia na ng’ambo kuadhimisha ANZAC Day.

  • Taarifa ya Habari 25 Aprili 2023

    25/04/2023 Duración: 15min

    Wa Australia wameshiriki katika ibada za alfajiri za Anzac Day, pamoja na gwaride kuwaenzi walio hudumia nchi yao. Mwaka huu ni maadhimisho ya miaka 108 ya kampeni ya Gallipoli, katika vita vya kwanza vya dunia nchini Turkiye.

  • Taarifa ya Habari 23 Aprili 2023

    23/04/2023 Duración: 15min

    Waziri wa Fedha Katy Gallagher amesema swala la nyumba za bei nafuu kwa wanawake katika umri wa miaka 55 na juu, litashughulikiwa katika bajeti ya shirikisho ijayo

  • Wanajeshi wazamani wa Papua New Guinea, ambao jamaa wao wanataka wakumbwe katika siku ya ANZAC

    23/04/2023 Duración: 07min

    Huduma yawanajeshi wa Australia nchini Papua New Guinea, kama kampeni ya Kokoda Trail, inajulikana vizuri.

  • Ezra "Australia imetupa fursa zakutumia talanta zetu"

    20/04/2023 Duración: 09min

    Wanachama wa shirika la Kitwek wa Perth, Magharibi Australia hivi karibuni, walijumuika katika hafla maalum iliyo andaliwa na viongozi wa shirika hilo.

  • Jinsi yakujilinda dhidi ya wizi wa utambulisho nchini Australia

    19/04/2023 Duración: 14min

    Uhalifu wa utambulisho ni tisho kubwa nchini Australia, ambako kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao endelea kuwa waathiriwa wa uhalifu wa utambulisho kila mwaka.

  • Taarifa ya Habari 18 Aprili 2023

    18/04/2023 Duración: 18min

    Waziri wa National Disability Insurance Scheme almaarufu NDIS, ametoa hotuba katika klabu ya waandishi wa habari wa taifa, kuelezea umuhimu wakufanya mageuzi katika mfumo huo.

  • Victor "tuna mipango maalum kwa vijana wa Kitwek"

    18/04/2023 Duración: 06min

    Ni jambo la kawaida kwa jamii nyingi kuanzisha shirika, linalo wawakilisha nakutoa huduma wanazo hitaji nje ya huduma zinazo tolewa na mashirika makubwa.

  • Taarifa ya Habari 16 Aprili 2023

    16/04/2023 Duración: 18min

    Sauti yawa Australia wa kwanza ndani ya katiba, itasaidia jamii zawa Australia wa kwanza kuishi maisha kikamilifu seneta wa Labor wa Wilaya ya Kaskazini aeleza vyombo vya habari.

  • Taarifa ya Habari 11 Aprili 2023

    11/04/2023 Duración: 18min

    Kaimu Waziri Mkuu Penny Wong, na waziri wa biashara Don Farrell, wame thibitisha kuwa serikali ya shirikisho imefikia maafikiano na Beijing, kwa suluhu ya mgogoro wakibiashara wa shayiri.

  • Vikomo vya ongezeko ya kodi ya nyumba vyatupiliwa mbali NSW, wakati kodi zikiendelea kuongezeka Australia

    11/04/2023 Duración: 06min

    Wapangaji jimboni New South Wales hawata hisi maramoja afueni yoyote, kutoka ongezeko ya kodi baada ya kiongozi wa jimbo hilo Chris Minns kutupilia mbali kikomo kwa ongezeko za kodi.

  • Taarifa ya Habari 9 Aprili 2023

    09/04/2023 Duración: 18min

    Maelfu ya watu wameadhimisha ibada ya Pasaka, ndani ya makanisa kote nchini. Waumini wana adhimisha kufufuka kwa Yesu Kristo, kulingana na maandishi ya Biblia takatifu.

  • Ps Ngugi "Siku hizi watu wamekosa muda wakushiriki katika ibada"

    09/04/2023 Duración: 10min

    Nyumba nyingi za ibada kote duniani hufurika wakati wa pasaka, hali ambayo ni tofuati na wakati mwingine wa mwaka.

  • Umepata faini? Hivi ndivyo unastahili fanya kuilipa na kuepuka madhara makubwa yakutofuata sheria

    09/04/2023 Duración: 10min

    Watu wengi nchini Australia hawa elewi madhara yakupuuza faini ni gani.

  • Taarifa ya Habari 4 Aprili 2023

    04/04/2023 Duración: 19min

    Maafisa wa ngazi za juu wa Australia wamekutana na washiriki wao kutoka China mjini Beijing, kujadili vikwazo vyaki biashara vinavyo endelea katika ishara mpya yakuboresha diplomasia.

  • Amedee bado tuna safari ndefu kisiasa barani Afrika

    03/04/2023 Duración: 12min

    Wakaazi wa New South Wales walishiriki katika uchaguzi ulio bandua serikali mamlakani.

  • Taarifa ya Habari 2 Aprili 2023

    02/04/2023 Duración: 17min

    Kiongozi wa Victoria amesema kushindwa kwa chama cha Liberal katika chaguzi dogo la Aston, kume onesha wapiga kura wanaendelea kutupilia mbali aina chafu ya siasa.

  • Albanese aunga mkono ongezeko ya mshahara kwa wafanyakazi wa pato la chini

    02/04/2023 Duración: 08min

    Serikali ya shirikisho imependekeza wafanyakazi wenye pato la chini nchini Australia, waongezewe mshahara ila, serikali haija sisitiza kuwa ongezeko hilo la mshahara liwe sambamba na mfumuko wa bei.

  • George "Kenya iko katika hatari yakutokomea"

    29/03/2023 Duración: 11min

    Jiji la Nairobi, Kenya kwa mara nyingine lime shuhudia mapambano makali kati ya jeshi la polisi na waandamanaji wanao taka serikali ishughulikie ongezeko la gharama ya maisha.

página 25 de 26
Únete Ahora

Únete Ahora

  • Acceso ilimitado a todo el contenido de la plataforma.
  • Más de 30 mil títulos, incluidos audiolibros, podcasts, series y documentales.
  • Narración de audiolibros por profesionales, incluidos actores, locutores e incluso los propios autores.
Prueba ahora Firma sin compromiso. Cancele cuando quiera.

Compartir