Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Voice Referendum: What is it and why is Australia having one? - Kura ya Maoni ya Voice: Ni nini na ni kwa nini tunaifanya?
09/08/2023 Duración: 11minAustralians will vote in the Indigenous Voice to Parliament referendum on October 14. Here’s what you need to know about the process, including why it’s taking place, and the information that communities can expect to help guide their decisions at the polls. - Je wajua kwamba wa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait hawa tambuliwi ndani ya katiba ya Australia?
-
Taarifa ya Habari 8 Agosti 2023
08/08/2023 Duración: 17minSerikali ya New South Wales inawekeza $5.8 milioni kwa utoaji wa makaazi ya wanawake na watoto kote jimboni NSW wanao kimbia unyanyasaji na vurugu ya nyumbani.
-
Dkt Annefrida "Spika Ackson ameshindwa kusimamia demokrasia ndani ya bunge"
08/08/2023 Duración: 10minShirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitolea mwito serikali ya Tanzania kuacha kuwakandamiza wakosoaji wake baada ya mamlaka za nchi hiyo kuwakamata watu wanaopinga mkataba wa uendeshaji bandari.
-
Taarifa ya Habari 7 Agosti 2023
07/08/2023 Duración: 08minSerikali itawasilisha hatua mpya zaku imarisha sheria za kodi, kwa ajili yaku zuia kashfa kama uvujaji wa kampuni ya PriceWaterhouse Coopers.
-
Taarifa ya Habari 6 Agosti 2023
06/08/2023 Duración: 16minWana harakati wa kampeni ya Ndio wametupilia mbali matokeo ya hivi karibuni ya kura ya maoni, yanayo dokeza uungwaji mkono wa the Voice unapungua.
-
Umuhimu wakuwa na marafiki kutoka tamaduni mbali mbali
06/08/2023 Duración: 11minKupata marafiki ni moja ya changamoto kubwa huwa tunakabili katika nchi mpya.
-
Taarifa ya Habari 29 Julai 2023
05/08/2023 Duración: 07minJuhudi zakutafuta nakuokoa zina endelea kwa wanahewa wanne walio kuwa ndani ya helikopta ya jeshi la ulinzi la Australia, lililo anguka ndani ya bahari karibu ya kisiwa cha Hamilton usiku wakuamkia leo.
-
Martin" Urusi haijali maslahi yawa Afrika"
05/08/2023 Duración: 07minKati ya 27-28 Julai, Rais Putin wa Urusi alikuwa mwenyeji wa kongamano la Urusi na mataifa ya Afrika mjini St Petersburg.
-
Taarifa ya Habari 1 Agosti 2023
01/08/2023 Duración: 16minWaziri Mkuu Anthony Albanese amejibu shtuma za waziri mkuu wa zamani Scott Morrison, kwa kumshtumu kwa kutokuwa na huruma kwa waathiriwa wa mfumo wa Robodebt.
-
Vikao vya Bunge ya Shirikisho vya anza tena baada ya mapumziko ya majira ya baridi
01/08/2023 Duración: 10minVikao vya bunge la shirikisho vime anza tena baada ya likizo ya mwezi mzima, kwa kiongozi wa upinzani Peter Dutton na waziri mkuu wa zamani Scott Morrison kuzungumzia shutma zilizo tolewa wakati wa likizo kuhusu mienendo yao ya awali.
-
Taarifa ya Habari 30 Julai 2023
30/07/2023 Duración: 15minMuswada wa nyongeza ya malipo ya Jobseeker, unatarajiwa kuwasilishwa bungeni vikao vitakapo anza tena kesho Jumatatu 31 Julai 2023.
-
Taarifa ya Habari 28 Julai 2023
30/07/2023 Duración: 06minSerikali ya shirikisho imetangaza ita wasilisha tena muswada wayo mhimu wa nyumba, vikao vya bunge vitakapo anza tena kutoka likizo yake ya majira ya baridi wiki ijayo jumatatu 31 Julai.
-
Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania wazua upinzani mkali
27/07/2023 Duración: 11minBunge la Tanzania limeridhia mkataba wa uendeshaji wa bandari nchini humo kati ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai.
-
Taarifa ya Habari 25 Julai 2023
25/07/2023 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese, amesema Australia inahitaji jiandaa kwa msimu wa moto wa vichaka ujao, wakati mioto ya vichaka inaendelea kuchoma maeneo ya Kaskazini ya dunia.
-
Gov Khalif "asilimia 60 ya Mandera iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab"
25/07/2023 Duración: 07minGavana wa Kaunti ya Mandera Mohamed Adan Khalif, amesema asilimia 60 ya kaunti yake iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab.
-
Taarifa ya Habari 23 Julai 2023
23/07/2023 Duración: 16minMfumo wa sera ya nyumba jimboni Victoria, wapokewa kwa hisia mseto na baadhi ya wadau jimboni humo.
-
Taarifa ya Habari 22 Julai 2023
23/07/2023 Duración: 05minMweka hazina wa taifa Jim Chalmers ametetea mfumo mpya wa ustawi wakitaifa wa serikali, katika jibu kwa ukosoaji kuwa baadhi ya data inayo tumiwa imepitwa na wakati.
-
Germain "nataka leta aina mpya ya siasa DRC"
20/07/2023 Duración: 16minKampeni za uchaguzi mkuu zime anza katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Taarifa ya Habari 18 Julai 2023
18/07/2023 Duración: 17minSerikali ya shirikisho leo imetangaza kuanzishwa kwa vituo vyakusomea vya vyuo vikuu, katika vitongoji vya nje ya miji mikubwa. Vituo vipya thelathini na nne, vita anzishwa katika maeneo ambayo hayana vyuo na, ambako asilimia ya umma yenye elimu ya juu ziko chini.
-
Kura ya maoni ya Voice ina husu nini?
18/07/2023 Duración: 15minBaadae mwaka huu, wa Australia watashiriki katika kura ya maoni ambako wata ulizwa kupiga kura ya NDIO au LA kwa swali lifuatalo: Una unga mkono mageuzi kwa katiba kuwatambua wa Australia wa kwanza kwa kuanzisha Sauti yawa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait?