Habari Rfi-ki

Asasi za kiraia zamtaka rais William Ruto kuwataja hadharani wanaopokea rushwa

Informações:

Sinopsis

Rais  wa Kenya William Ruto, yupo kwenye shinikizo  kubwa za kuwataja  hadharani wabunge na Maseneta, aliodai wanapokea rushwa kutoka kwa Mawaziri na Magavana, asasi za kiraia zinasema hiyo ndio njia pekee ya kuwaaminisha wananchi kuwa, kiongozi huyo ana nia ya kupambana na ufisadi nchini humo.