Habari Rfi-ki

Côte d'Ivoire : Kurejeshewa ngoma maalum kutoka Ufaransa

Informações:

Sinopsis

Kaika makala haya tunajadili  hatua ya bunge nchini Ufaransa kupiga kura na kupitisha mswada wa kurudishwa nchini Ivory Coast ngoma maalum inayozungumza iliyochukuliwa katika nchi hiyo ya Afrika kutoka kabila la Ebrie wakati wa ukoloni mwaka 1916. Je umefika wakati kwa koloni za zamani za Bara la Afrika kurejesha vyombo walivyopora ?   Ndilo swali tumekuuliza . Haya hapa maoni yako.