Habari Rfi-ki

Kenya : Maandamano yatumika kupora mali

Informações:

Sinopsis

 Maandamano nchini Kenya na mataifa  mengine ya Afrika  yamekumbwa na mauaji na uporaji huku mali za watu zikiharibiwa. Je, unafikiri ni sahihi kwa waandamanaji kupora na kuharibu mali za watu? Nini vyombo vya usalama vinapaswa kufanya kuzuia uharibifu? Haya hapa baadhi ya maoni yako.