Jua Haki Zako
Tanzania: Haki ya kusikiliza kesi mahakamani
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:10:00
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Nchini Tanzania, wafuasi na wanasiasa wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, walikamatwa na kupigwa na maafisa wa polisi walipokwenda Mahakamani jijini Dar es salaam, kusikiliza kesi ya uhaini na uchochezi inayomkabili kiongozi mkuu wa upinzani CHADEMA, Tundu Lissu.Katika makala ya leo ya Jua Haki yao, tunaangazia Uhuru wa kufauta kesi mahakamani, kwanini kuna haki ya kusikiliza kesi mahakamani na kwa nini mataifa mengi barani afrika yanazuia raia kusikiliza kesi kama hizi mahakamani.