Habari Rfi-ki

Rasimu ya makubaliano kati ya DRC na Rwanda ya kutafuta suluhu ya mzozo

Informações:

Sinopsis

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.