Jua Haki Zako

Je haki za mtoto wa kiume unazifahamu, na je unafikiri zimekiukwa?

Informações:

Sinopsis

Katika makala haya mtetezi wa haki za mtoto wa kiume Faith Maina Wanjiku, anasisitiza kwamba kampeini  za kumpa uwezo mtoto wa kike ndizo zimechangia kudidimia kwa hadhi ya mtoto wa kiume. Wajiku Maina raia kutoka nchini Kenya, anasema katika jamii ya leo hakuna anayeshughulikia haki na majukumu ya mtoto wa kiume, hali ambayo imechangia kizazi kizembe cha mtoto wa kiume. Skiza makala haya kufahamu suluhu kwa baadhi ya changamoto za mtoto wa kiume.