Jua Haki Zako

Kenya : Dhuluma za kijinsia na mrundiko wa kesi mahakamani

Informações:

Sinopsis

Katika makala haya  tujahadili dhuluma za kijinsia swala ambalo limekuwa ni donda sugu kwenye familia zetu, na jamii kwa ujumla.  Wakili Latifa Njoki na wakili Elizabeth Njambi wote kutoka nchini Kenya wanafafanua swala la mrundiko wa kesi mahakani zinazohusiana na dhuluma za kijinsia na suluhu.