Jua Haki Zako

Kenya : Wasanii walilia haki yao

Informações:

Sinopsis

Muungano wa wanamziki nchini Kenya (MAAK), unamtaka mwenyekiti wa Shirika la  Hakimiliki ya Muziki ya Kenya, Ezekiel Mutua kujiuzulu kutokana na kile wanadai amekuwa akipora peza za wamziki. Kupitia taarifa  muungano huo, unasema Mutua amekuwa akijilimbikizia pesa za wasanii huku wahusika wakiendelea kusalia maskini. Ili kufahamu zaidi skiza makala haya.