Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Taarifa ya Habari 13 Oktoba 2023
13/10/2023 Duración: 18minJumuiya zawayahudi nawa palestina wa Australia, zaendelea kuhofia usalama wa jamaa wao ambao wame kwama katika vita.
-
Kupiga kura ya Voice: Kile ambacho unaweza na hauwezi fanya katika kituo chakupiga kura
13/10/2023 Duración: 08minMaafisa wa uchaguzi nchini Australia wame toa taarifa ya kina kuhusu utaratibu utakao fuatwa, kwa kura ya maoni ya sauti yawa Australia wa kwanza bungeni itakayo fanywa Jumamosi.
-
Taarifa ya Habari 10 Oktoba 2023
10/10/2023 Duración: 18minMaandamano yakupinga Israel yameshuhudiwa mjini Sydney wakati wa makabiliano kati ya jeshi la Israel na Hamas yakiendelea, wakati huo huo mjini Perth, kundi linalo unga mkono Israel limeshiriki katika ibada maalum kwa niaba ya nchi hiyo.
-
Kelvin Kiptum atikisa dunia
10/10/2023 Duración: 10minMwanariadha Kelvin Kiptum Cheruiyot amejitengea nafasi yake katika vitabu vya historia kwa kushinda mbio za marathon mjini Chicago kwa muda wa masaa 2:00:34.
-
Ongezeko la ugonjwa wa kisukari: Uchunguzi waangazia mwenendo wakutisha wa afya
10/10/2023 Duración: 10minSerikali kwa sasa inazingatia mawasilisho kwa uchunguzi wa shirikisho, kuhusu ugonjwa wa kisukari, hali ambayo inazidi kuongezeka kote nchini Australia.
-
Geofrey "mengi yaliyo jadiliwa katika mkutano huu yametufungua mawazo sana sisi wanafunzi"
09/10/2023 Duración: 12minJumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walikuwa na mkutano ulio toa fursa kwa wanachama wa jumuiya hiyo kuzungumza nama wakala wa uhamiaji pamoja na wataalam wengine.
-
Irene "kila mtu alirudi nyumbani akijua fasi gani katika familia anastahili tengeneza vizuri"
09/10/2023 Duración: 11minKwa mara nyingine kongamano la wanawake wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi jimboni NSW, lili ongeza idadi ya walio lihudhuria katika kitongoji cha Wollongong.
-
Bobi Wine awekwa katika kizuizi cha nyumbani muda mfupi baada yakuwasili Uganda
06/10/2023 Duración: 07minKiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine amesema siku ya Alhamisi amewekwa katika kizuizi cha nyumbani, baada ya kukamatwa na maafisa wa usalama alipokuwa akirejea nyumbani akitokea nje ya nchi.
-
Taarifa ya Habari 6 Oktoba 2023
06/10/2023 Duración: 19minWataalam wamesema Australia inahitaji makumi yama elfu ya nyumba za ziada zakukodi, wakati viwango vya nyumba zakukodi vinarejea katika viwango vya chini katika rekodi hali ambayo imeongeza kodi sana.
-
Baadhi ya wahamiaji wafunguka kuhusu kura ya The Voice
05/10/2023 Duración: 05minSBS ina tambua kuwa maoni yanayo wasilishwa katika makala haya, haya wakilishi maoni ya jumuiya pana na si uwakilishi wa takwimu ya umma wa Australia. Kura ya maoni ya The Voice itafanywa Jumamosi 14 Oktoba 2023. Siku hiyo, wapiga kura wata ombwa kupiga kura ya ‘ndio’ au ‘la’ kwa swali moja pekee.
-
Mgahawa wa Music & Food waleta ladha mpya Sydney, Australia
05/10/2023 Duración: 07minWalio hudhuria tamasha ya Africultures ya 2023, walikabiliawa kwa wakati mgumu wa kipi cha kuonja na kipi cha kupuuzwa.
-
Wahamiaji wanahitaji taarifa gani kabla waje Australia?
05/10/2023 Duración: 11minKila mwezi makumi yama elfu ya wahamiaji huwasili katika miji mbali mbali nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 3 Oktoba 2023
03/10/2023 Duración: 18minBenki kuu ya Australia imeacha kiwango cha hela taslim kwa 4.1% kwa mwezi wa nne mfululizo.
-
Hatua zaku uza gari yako nchini Australia
03/10/2023 Duración: 10minInapofika wakati waku aga gari yako ya zamani, kuna mengi yakufanya zaidi yaku iosha, kutoa kitabu cha ukarabati pamoja nakupokea malipo.
-
Taarifa ya Habari 1 Oktoba 2023
01/10/2023 Duración: 18minSeneta wa chama cha Greens Jordan Steele-John amesema panastahili kuwa waziri washirikisho wa ulemavu, anaye stahili ongoza utekelezwaji wa mapendekezo kutoka tume yakifalme kwa ulemavu.
-
Hatimae Martin Fayulu atangaza atawania Urais DRC
01/10/2023 Duración: 08minKiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Martin Fayulu, Jumamosi alithibitisha kugombea urais kwenye uchaguzi wa tarehe 20 Disemba 2023.
-
Taarifa ya Habari 26 Septemba 2023
26/09/2023 Duración: 15minDaniel Andrews ametangaza uamuzi wake wakujiuzulu kama kiongozi wa Victoria.
-
Jinsi yakujiandaa kufanya mtihani wa uraia wa Australia
26/09/2023 Duración: 12minKuwa raia wa Australia ni uzoefu wa kusisimua na wenye zawadi kwa wahamiaji wengi.
-
Wambui azindua kampuni ya mavazi ya Ga-Kenia
06/09/2023 Duración: 06minTamasha ya Africultures hutoa fursa nyingi kwa wajasiriamali kukutana na kupata wateja wapya.
-
Taarifa ya Habari 5 Septemba 2023
05/09/2023 Duración: 18minSerikali imesema haita piga hatua nyuma kwa pendekezo la sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, licha ya matokeo mapya ya kura ya maoni ambayo yanaonesha hali si nzuri kwa kura ya maoni ijayo.