Voa Express - Voice Of America

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 9:59:43
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. 

Episodios

  • Mwanaharakati wa vijana Abdulkarim kutoka Kenya anaeleza umuhimu wa vijana kuhamasisha siku ya kimataifa ya mshikamano wa kibinadamu. - Desemba 20, 2024

    20/12/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • VOA Express - Desemba 19, 2024

    19/12/2024 Duración: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Uganda yatishia kuwafukuza wasani wa kigeni wanaokiuka maadili ya nchi - Desemba 18, 2024

    18/12/2024 Duración: 29min
  • Shambulio jingine la risasi katika shule ya msingi ya binafsi nchini Marekani limesababisha vifo na majeruhi kadhaa. - Desemba 17, 2024

    17/12/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mtaalamu wa afya Theophil Wangata anaelezea namna jamii inavyopaswa kuzingatia vyakula wanavyokula kila siku hususan wakati wa sikukuu. - Desemba 16, 2024

    16/12/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Vijana takribani 30,000 katika Mkoa wa Tanga nchini Tanzania hawataki kutafuta kazi wala masomo, je hali hii inaashiria nini katika jamii? - Desemba 13, 2024

    13/12/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Suala la kipato lachangia kwa wanawake kuvunja ndoa nchini Tanzania, yasema ripoti ya mashirika ya haki za wanawake - Desemba 12, 2024

    12/12/2024 Duración: 29min
  • Museveni awataka vijana Uganda waache ushabiki wa soka wa timu za nje - Desemba 11, 2024

    11/12/2024 Duración: 29min

    Musseveni awataka vijana Uganda waache ushabiki wa soka wa timu za nje

  • Usawa wa kijinsia, Akili Mnemba na usalama ni miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa katika kongamano la wanawake katika Media nchini Senegal. - Desemba 10, 2024

    10/12/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Wanaharakati wataka vijana wepewe nafasi ya kupambana na rushwa - Desemba 09, 2024

    09/12/2024 Duración: 29min

    Wanaharakati wataka vijana wepewe nafasi ya kupambana na rushwa

  • Vijana Uganda washauriwa kutumia simu za mkononi kupambana na ufisadi - Desemba 06, 2024

    06/12/2024 Duración: 29min

    Vijana Uganda washauriwa kutumia simu za mkononi kupambana na ufisadi

  • Vijana wa Afrika mashariki wanaeleza namna wanavyotumia rasilimali ya udongo katika kuleta maendeleo kwa jamii wanazoishi. - Desemba 05, 2024

    05/12/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Shirika lisilo la serikali Generation Kenya linachangia kwa kuwapatishia ajira maelfu ya vijana - Desemba 04, 2024

    04/12/2024 Duración: 29min
  • Dunia inaadhimisha siku ya walemavu huku walezi au wazazi wanaowahudumia walemavu wanaeleza changamoto zilizopo katika maisha ya kila siku. - Desemba 03, 2024

    03/12/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Vijana nchini Kenya wanaaswa kutambua na kujilinda na maambukizi ya HIV ambayo yanaongezeka kwenye kundi la miaka 15 hadi 24. - Desemba 02, 2024

    02/12/2024 Duración: 30min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Jumuia ya Afrika Mashariki yaadhimisha miaka 25 tangu kuundwa kwake. Vijana watoa maoni kuhusu mafanikio na changamoto - Novemba 29, 2024

    29/11/2024 Duración: 29min
  • Utali umesaidia kuajiri vijana nchini Tanzania kulingana na mtaalamu wa masuala ya ujasiriamali katika mkoa wa Arusha - Novemba 28, 2024

    28/11/2024 Duración: 30min
  • Serikali ya Kenya inaendelea kuajiri vijana kwa wingi wakafanye kazi ugaibuni - Novemba 27, 2024

    27/11/2024 Duración: 29min
  • Program tofauti zinafanyika katika nchi nyingi za Afrika katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia hadi Disemba 10. - Novemba 26, 2024

    26/11/2024 Duración: 30min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mwanaharakati wa wanawake wa shirika la Open Talk la Kenya anaelezea elimu wanayotoa kusitisha visa vya ukatili kwa wanawake na wasichana - Novemba 25, 2024

    25/11/2024 Duración: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.