Jukwaa La Michezo
Mashindano ya boti za umeme zinafanyika Afrika kwa mara ya kwanza Lagos, Nigeria
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:23:57
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Rwanda kuwa taifa la kwanza Afrika kudhamini vilabu vya basketboli Ulaya, nini kinachoendelea klabuni Simba washikadau wanaendelea kuondoka, TP Mazembe yajiondoa katika Chama cha Vilabu vya Soka vya Kongo, Afrika inaandaa kwa mara ya kwanza mashindano ya boti za umeme nchini Nigeria, mwanawe Zidane aitwa kikosini Algeria, FIFA yazindua mpira utakaotumika mwaka ujao kwenye Kombe la Dunia, Hamilton akabiliwa na uchunguzi kuelekea mkondo wa Singapore.