Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazishi ya papa Francis huko vatican, DRC na Rwanda zakubaliana kuelekea amani
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:20:16
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Makala ya yaliyojiri wiki hii imeangazia mazishi ya kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, DRC na Rwanda zatia saini makubaliano kuhusu njia ya kupatikana amani ya mashariki mwa Congo, siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi wa oktoba, ziara ya rais wa Kenya William Ruto huko China, hali ya vita ya Sudan, vita ya Ukraine na huko Gaza Israeli, ni miongoni mwa Habari kuu za dunia zilizojiri kwa juma hili.