Jioni - Voice Of America
Kambi za wakimbizi nchini Burundi ni mbaya huku zikishuhudia mmiminiko mkubwa wa wakimbizi wanaokimbia mapigano DRC katika miongo kadhaa. - Machi 07, 2025
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:59:59
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.