Jioni - Voice Of America

Maafisa kutoka chama cha Rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila wameitwa kufika mbele ya mwendesha mashtaka wa kijeshi leo Jumatatu . - Machi 10, 2025

Informações:

Sinopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.