Jioni - Voice Of America

Maafisa wa Russia wamesema mashambulizi ya Ukraine yaliyohusisha Drone 90 yamesababisha vifo vya watu wawili na kuwajeruhi wengine 18. - Machi 11, 2025

Informações:

Sinopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.