Jioni - Voice Of America
Watu 11 wamefariki na wengine zaidi ya 70 wamejeruhiwa kufuatia milipuko miwili katika eneo la Bukavu huko mashariki mwa DRC. - Februari 27, 2025
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:29:59
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.