Habari Za Un
Mradi wa NICHE umekuwa mkombozi wangu, asante UNICEF: Leah Akiru
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:02:20
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Mradi unaoendeshwa na serikali ya kenya na kupigwa jeki na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ambao ni wa kuboresha lishe kwa watoto kwa kugawa fedha taslim na elimu ya afya au NICHE (NISHI) umeleta nuru kwa wakazi wa Lokichar katika kaunti ya Turkana Kaskazini Mashariki mwa Kenya na miongoni mwa wanufaika ni Leah Akiru. Ungana na Flora Nducha kwa taarifa zaidi