Habari Za Un
Hisia mchanganyiko Gaza baada ya tangazo la sitisho la uhasama
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:02:44
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Leo ni siku ya tatu tangu kutolewa tangazo la muafaka wa usitishaji uhasama Ukanda wa Gaza kati ya Israel na kundi la Palestina la Hamas, muafaka utakaoanza kutekelezwa mwishoni mwa wiki. Je raia wa Gaza wanahisi vipi baada ya miezi 15 ya jinamizi la vita? Selina Jerobon anatupasha zaidi katika taarifa iliyoandaliwa na mwandishi wa Idhaa ya Kiarabu ya Umoja wa Mataifa kutoka Gaza.