Jioni - Voice Of America
Mwanafunzi wa kike wa miaka 15 nchini Marekani amefanya shambulio la risasi katika shule anayosoma na kusababisha vifo na majeruhi. - Desemba 17, 2024
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:30:00
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.