Fata Bibilia Ikuongoze
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 21:02:39
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
The Podcast of the LIVING GOD.
Episodios
-
Utofauti wa Huduma na Karama
13/03/2021 Duración: 42minMazungumuzo kuhusu Utofauti wa Huduma na Karama.
-
Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 2.
14/12/2020 Duración: 28minJe, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 2. by FUATA BIBLIA
-
Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 1.
14/12/2020 Duración: 27minJe, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 1. by FUATA BIBLIA
-
Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 2 )
20/11/2020 Duración: 29minSikiliza pia: Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 1 )
-
Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 1 )
20/11/2020 Duración: 26minOna pia: Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 2 )
-
Mafundisho kuhusu Sabato
04/10/2020 Duración: 45minSabato ni nini? Mafundisho kuhusu Sabato kwa urefu.
-
MAFUNDISHO KUHUSU 1 TIMOTHEO 2:12
13/09/2020 Duración: 35minFundisho kuhusu mstari hii. 1 Timotheo 2:12 12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
-
Kuomba Katika Roho Part 2
24/06/2020 Duración: 27minPastor Apalale Ause, akifundisha katika kipindi cha Fuata Biblia Ikuongoze kuhusu: Kuomba katika Roho. Katika kitabo cha 1Wakorintho 14:15.
-
Kuomba Katika Roho Part 1
24/06/2020 Duración: 30minPastor Apalale Ause, akifundisha katika kipindi cha Fuata Biblia Ikuongoze kuhusu: Kuomba katika Roho. Katika kitabo cha 1Wakorintho 14:15.
-
Yohana 14:12
04/04/2020 Duración: 40minPasta Apalale ana fundisha katika Fuata Biblia ikuongoze Studio. Yohana 14:12. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba. Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
-
Maombezi
03/04/2020 Duración: 22minPasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Kuusu Maombezi... 1Timotheo 2:1-3 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; 2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. 3 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
-
Nifanye Nini Ili Niingiye Katika Ufalme Wa Mbinguni? Part 2
03/04/2020 Duración: 26minPasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Mambo fulani una stahili kutenda, ili uingiye katika Ufalme wa Mbinguni.. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
-
Nifanye Nini Ili Niingiye Katika Ufalme Wa Mbinguni? Part 1
03/04/2020 Duración: 33minPasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Mambo fulani una stahili kutenda, ili uingiye katika Ufalme wa Mbinguni.. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
-
Mwisho Wa Dunia Part 2
03/04/2020 Duración: 36minPasta Apalale Ause ina fundisha katika kanisa la Eglise Famille de Diue. Mathayo 24:14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. Matendo ya Mitume 2:17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
-
Mwisho Wa Dunia Part 1
03/04/2020 Duración: 39minPasta Apalale Ause ina fundisha katika kanisa la Eglise Famille de Diue. Mathayo 24:14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. Matendo ya Mitume 2:17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
-
Namba Au Chapa Ya Munyama Part 3
19/05/2018 Duración: 20minPastor Apalale Ause akifundisha kuusu NAMBA AU CHAPA YA MUNYAMA. Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi wa ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye: Podcast: https://podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloud: https://soundcloud.com/user-529110866 Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos?view_as=subscriber
-
Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 3
19/05/2018 Duración: 15minPastor Apalale Ause akifundisha kuusu NAMBA AU CHAPA YA MUNYAMA. Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi wa ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye: Podcast: https://podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloud: https://soundcloud.com/user-529110866 Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos?view_as=subscriber
-
Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 2
19/05/2018 Duración: 15minPastor Apalale Ause akifundisha kuusu NAMBA AU CHAPA YA MUNYAMA. Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi wa ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye: Podcast: https://podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloud: https://soundcloud.com/user-529110866 Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos?view_as=subscriber
-
Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 1
19/05/2018 Duración: 15minPastor Apalale Ause akifundisha kuusu NAMBA AU CHAPA YA MUNYAMA. Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi wa ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye: Podcast: https://podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloud: https://soundcloud.com/user-529110866 Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos?view_as=subscriber
-
Kisha Kanisa Kunyakuliwa Part 2
21/04/2018 Duración: 13minPastor Pierre Birunga, kutoka Denmark-Skanderborg. Akifundisha dani ya International Evangelical Church in Skanderborg. Fundisho: Kisha Kanisa Kunyakuliwa. MAULIZO-MAONYO-MAFUNDISHO Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi kwa ngambo ya ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye audio: Podcast:https: //podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloudhttps: //soundcloud.com/stream