Alfajiri - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 24:59:30
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episodios
-
Rais mpya wa Senegal Faye amteua mshirika wake Ousmane Sonko kama waziri mkuu - Aprili 03, 2024
03/04/2024 Duración: 29min -
Wanajeshi wa Afrika Kusini waliopelekwa DRC walalamika kuwa hawana vifaa vya kutosha - Aprili 02, 2024
02/04/2024 Duración: 29min -
Makazi ya waziri mkuu wa Libya yashambuliwa kwa guruneti - Aprili 01, 2024
01/04/2024 Duración: 30min -
Jumuiya ya SADC 'yasikitishwa' na hatua ya Rwanda kupinga ufadhili wa ujumbe wa kulinda amani DRC - Machi 29, 2024
29/03/2024 Duración: 30minJumuiya ya SADC yasikitishwa na hatua ya Rwanda kupinga ufadhili wa ujumbe wa kulinda amani DRC
-
Mili ya watu wawili yaopolewa karibu na daraja lililobomolewa na meli Baltimore - Machi 28, 2024
28/03/2024 Duración: 30minMili ya watu wawili yaopolewa karibu na daraja lililobomolewa na meli Baltimore
-
Marekani: Mamlaka za Baltimore zasitisha shughuli za kutafuta manusura wa ajali ya meli - Machi 27, 2024
27/03/2024 Duración: 29minGavana wa Jimbo la Maryland, Wes Moore, ameweka wazi kuwa hapakuwa na kitendo chochote cha kigaidi baada ya daraja kuu katika mji wa Baltimore kubomoka Jumanne asubuhi wakati meli iliyobeba mizigo kugonga nguzo yake.
-
Senegal: Bassirou Faye aahidi wananchi kwamba ataongoza kwa unyeyekevu na uwazi - Machi 26, 2024
26/03/2024 Duración: 29minMgombea urais kwa tikiti ya upinzani wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, mgeni kisiasa, lakini ambaye ni maarufu miongoni mwa vijana wasioridhishwa na utawala uliopo, aliahidi Jumatatu kutawala kwa unyenyekevu na uwazi, wakati akisubiri kutangazwa kuwa rais ajaye.
-
Kura zaendela kuhesbiwa Senegal huku wafuasi wa mgombea kwa tikiti ya upinzani wakishangilia "ushindi" mitaani - Machi 25, 2024
25/03/2024 Duración: 30minHesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye akiongoza. Wafuasi wake walianza kusherekea mitaani baada ya siku ya amani ya uchaguzi ambayo wengi wanatumaini utaleta mabadiliko.
-
Miji mikubwa ya DRC inakabiliwa na joto kali ambalo halijawahi kushuhudiwa - Machi 21, 2024
21/03/2024 Duración: 29min