Muziki Ijumaa

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 4:10:07
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Episodios

  • Burundani ya Muziki juma hili na Ali Bilali

    09/06/2023 Duración: 10min

    Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali

  • Rhumba ndani ya makala Muziki Ijumaa

    28/05/2023 Duración: 12min

    Kila Ijuma rfi Kiswahili inakupa nafasi ya kipekee kuskiza vibao moto moto  ndani ya Makala Muziki ijumaa. Katika Makala haya Utaskia vibao moto kutoka kwa wasanii wakale kama vile Madilu System, hadi wa sasa kama vile Hermonize kutoka Tanzania. Kwa uhondo zaidi skiza makala.

  • Burudani moto moto ndani ya muziki ijumaa

    19/05/2023 Duración: 10min

    Karibu kuungana na mtangazaji wako Reuben Lukumbuka katika muziki ijumaa, anaungana na wasikilizaji kutoka kila kona wiki hii

  • Burudani Murua ndani ya Muziki Ijumaa

    28/04/2023 Duración: 10min

    Karibu kuungana na mtangazaji wetu Florence Kiwuwa  anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya Aprili  28 2023

página 2 de 2