Deutsch Warum Nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Informações:

Sinopsis

Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.

Episodios

página 1 de 2